2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Alikuwepo nacho kale kakichupa kenye majina ila ndio kalimuangusha hakuambulia kitu.
Hiki hapa[emoji23][emoji1787][emoji1787]
20240129_120815.jpg
 
Rais wao atuliage tu nyumbani leo mana kile alichokutana nacho siku ile toka kwa Equatorial Guinea sio kidogo eti. 😅
Yule asipoenda goli zitapungua, ila nasisitiza fimbo kila mtu awe nayo wasitoke uwanjani haiwezekani wanaume mnakula mnashiba mnaenda kucheza rede na kutia aibu taifa😂😂 leo ni fimbo tu
 
Back
Top Bottom