Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Leo sijamchungulia paka.Ogopa wenye Bahati usiwachukulie poa
Kuna goli moja tu au extra timePamoja na Soka Safi hili bado SHOT ON Target ni 0 kwa kila timu
[emoji51]
😜😜Daaah kmmk CV ina watoto sitoacha kuwasifia itabidi nijichange nika talii kwao
Ni sahihi. Ukiangalia Physic, umri wa wachezaji pamoja na majina yao wachezaji wa hizi timu mbili unaona wanakitu, wapo serious na wanamaanisha na kujua wafanyacho na wamekaa kimichezo. Kimsingi, tuna safari ndefu sana kuwafikia hawa.Bonge moja la mechi Cape verde vs Mauritania
Macho haya danganyi
Papatu zingekuwa nyingiSs tungefika hatua hii tungetia aibu aisee
Huwawezi hao, we endelea na hao akina Mwajuma ziwa moja.na Asha chura wa Manzese.Macho haya danganyi