Apite tu yeyote, mi naisubiri timu yangu imtoe mwenyeji nchi ichafuke😀Huu mpira wa motooooo....yani ni wa motooo
Naona kama hawa Mauritania watapita...
Yule Jamaa Wataalam wao walimuandalia Michoro inayo onesha Goli, Jina La Mchezaji, Pamoja na spot ambazo Mchezaji Husika Penalty zake Nyingi Huelekeza Huko.Mkuu tueleweshe hizo taarifa alikuwa anazipataje?
Subiri chuma kinakua hawa Cabo Verde wanaenda kwao keshoEnzi zangu pale kamba, watu wanaita kati
Saidoo yupi? Huyu mzee mwenye nuksi na gundu, LolCape Verde wangekuwa na mtu kama Saidoo wangekuwa washapata goli
Umekaa wapi?Leo hapa nilipokaa nakosaje Uhuru wa kuingia jf😊😊😊😊!
Tumebanana kishenzi kushoto Kwangu kuna mtuu kulia kuna mtuu nyuma yetu kuna watuuuu afu wao wamesimama yani wakipepesa kope kwa phone yangu tu ni shwaaaaa kumbe wewe ndo mahoo alaaaaah!
Najikuta naandika huku nimefunika Simu kwa mkono nachungulia kwa kuibiaibia jamani 🤠🤠🤠🤠🤠🙌!
Saa tano?Apite tu yeyote, mi naisubiri timu yangu imtoe mwenyeji nchi ichafuke😀