2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mkuu tueleweshe hizo taarifa alikuwa anazipataje?
Yule Jamaa Wataalam wao walimuandalia Michoro inayo onesha Goli, Jina La Mchezaji, Pamoja na spot ambazo Mchezaji Husika Penalty zake Nyingi Huelekeza Huko.

Michoro ile wallingiza ndani ya Chupa ya Maji (ndani haikua na Maji) Kwaiyo ukiangalia Kwa Nje ilikua inaonekana,
Alikua kila akitoka Golini anaishika hiyo chupa yake Alikua anaifunika Funika na Taulo,
Hiyo chupa ilionekana baada Ya Mechi Kuisha, Inaonekana alichanganyikiwa akaisahau.
 
Leo hapa nilipokaa nakosaje Uhuru wa kuingia jf😊😊😊😊!
Tumebanana kishenzi kushoto Kwangu kuna mtuu kulia kuna mtuu nyuma yetu kuna watuuuu afu wao wamesimama yani wakipepesa kope kwa phone yangu tu ni shwaaaaa kumbe wewe ndo mahoo alaaaaah!

Najikuta naandika huku nimefunika Simu kwa mkono nachungulia kwa kuibiaibia jamani 🤠🤠🤠🤠🤠🙌!
Umekaa wapi?
 
Back
Top Bottom