Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #8,081
🤠!Imebid hata mm ninyamaze nisingiliee maneno ya watu wazima🤣🤣🤣🤣
Nimecheka sana daah
SanaHili jina naona linatamba sana sahv
Alifunga goli huku akiwa amekaa chini🤣🤣papa bouba diop RIP lile goli lake mechi ya ufunguzi na ufaransa 🔥
Tunamtoa Mane akaendelee na fungate
Kama Mauritania [emoji1163] vileCIV wanajikuta spid kutafuta goli lkn mipango zero
Mapema sanaSisi team Senegal tulishasema tokea jana, hii nechi haiendi 120.
Tunamaliza kazi mapema.
Hawa Ivory coast mbio zao zisiwavurugeHii game sio nyepesi kama mnavyotaka kuichukulia.
Visit Cabo VerdeView attachment 2887497hizi ni lawama za wazi
Hapo ni goli tu linahitajikanaona mwenyeji anatakata