MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Mbona mayele aliitwa lakin hakucheza hata sekunde ,yote yanatokea.Ivory Coast kosa lao la kwanza lilikuwa ni kumuacha Zaha
Alafu Sebastian Haller hakuitwa ama??
Ivory Coast kosa lao la kwanza lilikuwa ni kumuacha Zaha
Alafu Sebastian Haller hakuitwa ama??
Wewe unaangalia AFCON ipi? [emoji1787][emoji1787]Mbona mayele aliitwa lakin hakucheza hata sekunde ,yote yanatokea.
Naona hilo ndio linawakwamishaHawana mtu wa kichwa
Afrika tunashindwa kuficha ujinga mtu anaruka kama kichuraHuyu mchezaj wa Ivory Cost na kocha wake wanao omba tuta hapo ilifaa wote unawakamata unawapiga makonzi waache mambo ya kifala.
Mchezaj karuka kama anaruka rede vile.. Hlf hana aibu anaenda kbs ulizia tuta.
Ngoja tuone!Senegal hawatarudi na kombe, safari hii kombe linachukuliwa na watu wa kisiwani
Ngoja tuone!Senegal hawatarudi na kombe, safari hii kombe linachukuliwa na watu wa kisiwani
Sioni pacome anamtoa nani hapo.Umeona eehh!
Huku chini kwa huyu dogo black angetoka tu hana akili anachenga nyingi anababatiza tu mipiraNaona hilo ndio linawakwamisha
Ligi ambayo bingwa wake anakuwa at levels na team ya inayoshika mkia kwenye ligi ya SA tena ikiwa na wazawa tupu.Achana
Achana Nae huyo mnazi wa ligi mbovu ya simba na yanga
Unaona kabisa wangekuwa na zaha na Haller pale mbele mambo yangekuwa mengine pro ni ProHilo ni kosa kubwa sana, ukiangalia team inavyocheza utaona ina viuongo wengi wenye vipaji ila inakosa mtu makini hapo mbele.
Kanikera sana mjinga hana aibu kbs anamfata refa kumwambia mbn hujaenda hata kuangalia.Afrika tunadhindwaga kuficha ujinga mtu anaruka kama kichura
Hajacheza hata sekunde?Mbona mayele aliitwa lakin hakucheza hata sekunde ,yote yanatokea.
Ngumu mwenyeji kutulia yupo na pressure kubwa sanaNgoja tuone!
Yani hatua ijayo itakua yamoto sio kidogo
Mayele si kacheza gemu ya Tz yoteMbona mayele aliitwa lakin hakucheza hata sekunde ,yote yanatokea.
Na ule urefu angewafaa sanaHaller alikua kaumia
anaangalia afcon ya simba na yanga 😂😂Wewe unaangalia AFCON ipi? [emoji1787][emoji1787]
Nani DIAKITE?Huku chini kwa huyu dogo black angetoka tu hana akili anachenga nyingi anababatiza tu mipira
Ako vyedi sana uwee! Basi tu sijui kwanini hawakumuita!Sioni pacome anamtoa nani hapo.
Huyo kalewa usingiz ss unaona mida yenyewe mibovu hii😁Wewe unaangalia AFCON ipi? [emoji1787][emoji1787]