Wameshaishiwa mbinu, hawawezi kusonga mbele πNina Imani na Senegal
Sawa mabingwa hatuna kelele tuna wasubiri finalMorocco overated kama gabaksi
Wanakuchania mkeka leo, game imewachangamkia π€£π€£Hawa washenzi Senegal nimewabetia simu Hawa
Pepo trokkkaaaaaaah!Wameshaishiwa mbinu, hawawezi kusonga mbele π
Napiga simu ya mtu hapaumepigwa simu yako ivory coast watapita kwa penalty
Mwa ghanikaakwaMwHivi 2017 TZ tutakuwa na pisi za kutosha uwanjani? Tusije kuaibisha
Mwaka ghan umeandika mkuu?Hivi 2027 TZ tutakuwa na pisi za kutosha uwanjani? Tusije kuaibisha. Camera ikipiga jukwaani wanaonekana kina Kisugu na Mwijaku