Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hizo ni hasira zinazungumzaSenegal wakititoka na mi nimetoka mazima afcon bye bye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni hasira zinazungumzaSenegal wakititoka na mi nimetoka mazima afcon bye bye
Psychologically CIV wapo vizuri kwasasa. Senegal [emoji1211] atatolewa.Senegal wakititoka na mi nimetoka mazima afcon bye bye
Yaan hata aje huyo segenal anakufa tu ila akiwa ivory coast kaz ndo itakuwa rahisMashabiki wa mabingwa Morocco tunataka apite Ivory kazi iwe nyepesi zaidi ya kutwaa ndoo
Senegal akitoka namie naacha kuangalia AFCON 2023Utashindwa kulala leo
Ndio senego anaondoka hapo tuwah tukalaleHawa wasituletee ujinga wa saa 8
Tuna safari kesho
Ashinde mmoja tukalale
Hata mi naona hapa nilipo nina hasira natamani nikalale na hata usingizi wenyewe hautakujaPsychologically CIV wapo vizuri kwasasa. Senegal [emoji1211] atatolewa.
😂😂😂😂😂Senegal wakititoka na mi nimetoka mazima afcon bye bye
Ndio senego anaondoka hapo tuwah tukalale
Bora ushabikie CV nchi yangu 😂😂Senegal akitoka namie naacha kuangalia AFCON 2023
Haiwezekani aniangushe hivi
Morocco overated kama gabaksiMabingwa Morocco tuna wafuatilia nyie pwagu na pwaguzi
Nasemaaaajeeeeee haiwesekani akaniangusha hiviiiiBora ushabikie CV nchi yangu 😂😂
umepigwa simu yako ivory coast watapita kwa penaltyHawa washenzi Senegal nimewabetia simu Hawa