joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kuna uwezekano mkubwa Ivory Coast kuingia nusu fainali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali kazi , twende 120 GAME ONHaya sasa ivorians wana pepe, kessie ,adingra na haller ndani hii tu final battle yao, sheikh mane kocha ampige sub kwanza akiki ikae sawa kidogo
Tulia Bado mpira 😂😂Mamaeh zao Senegal
Nilisema hapa watu wakanibishia. Tena mapema sana. Timu inapoenda kuruhusu goli unaliona kabisa linakuja.Mechi 120 hii[emoji23][emoji23]
Tuweke hio meseji mkuu mm sikuionaNilisema hapa watu wakanibishia. Tena mapema sana. Timu inapoenda kuruhusu goli unaliona kabisa linakuja.
Nikama siku ile TZ na Zambia. Goli la Zambia lilikuwa linaonekana kabisa.
Kuna uwezekano mkubwa Ivory Coast kuingia nusu fainali.
Kabisa aseeCisse aje na mpango mpya, we don't deserve this!