Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Wewe nae tulia bwana, penatly tu hiiNilisema hapa watu wakanibishia. Tena mapema sana. Timu inapoenda kuruhusu goli unaliona kabisa linakuja.
Nikama siku ile TZ na Zambia. Goli la Zambia lilikuwa linaonekana kabisa.