2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hawa Bora watoke, viburi vya mafanikio viliwajaa wakadhani hili kombe ni la baba Yao, mara kufanya uwanja kuwa msikiti wakidhani labda wanaswali Sana na wanasikilizwa na Mungu zaidi. Kumbe !!!!
Duuuh! Kunya anye kuku akinya bata kahara, misalaba inayopigwa uwanjani huioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…