Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Ulishaona Messi ananzia benchi?Acha unoko hiyo ni mipango tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishaona Messi ananzia benchi?Acha unoko hiyo ni mipango tu.
Burkina faso nao wanatetemeka nin wanataka kuwa kama starsMapema tu
afu ni kibonge na anapenda kuvaa mikaptura mikubwa kweliIla Diarra nae emolo sana
Kafanyaje?Ila Diarra nae emolo sana
Kuna team iliyokuwa na nafasi kubwa kama Senegal?Ana nafasi kubwa
Mechi mbovu sana hii.Hawa kama wote wachovu tu
Ngoja tuoneHofu yangu yasije yakajirudia ya jana
Hafu mlegezoafu ni kibonge na anapenda kuvaa mikaptura mikubwa kweli
Mali na inabidi atoke ikiwezekanaWakuu.
Hongera sana Mali.
Mali nae inabidi atoke ikiwezekana