2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kwani hata mimi naziangalia beshte?? Hahaha hizo tuwaachie wenyewe..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mida hiyo Usingizi ahunipi nafasi kabisa..

Nilikuwa naangalia Highlights ya Jana..Senegal & IC huku natetemeka utadhani mpira ndiyo unachezwa[emoji1787]

Senegal yangu imeaga bhana...

Ila huu wa leo Morocco najiona nikijikaza tu niangalie.[emoji1]
 
😂 😂 😂

Poleni jamani mm sikutaka kuwa upande wwt nisije nikaumia ..leo natamani niwashabikie SA...duuh kama ni saa tano siwezi..maana daily naamka saa 11 na nusu nitashindwa buree...bora ikiwa weekend..mbaya zaidi iende mpk mikwaju ya penalty duuh
 
Mwenyewe leo nipo na Wa'South....

Yes...ikiwa Weekend kidogo afadhali...

Ila mimi sasa ikishafika mida hiyo hata iwe Weekend..Saa tano nakuwa kama naboreka[emoji1]
 
Lazima uboreke beshte..unafanya nini muda huo mwanamke?? Hyo mida tuwaachie wanaume..si unajua sisi ndo kila kitu kuwahi kuamka ni sisi... 😆 😆 😆
 
Diarra amesharuhusu goli 4.. Manula naye aliruhusu 4 kwenye makundi. Ngoja tuone leo ataruhusu mangapi
 
Back
Top Bottom