Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani hata mimi naziangalia beshte?? Hahaha hizo tuwaachie wenyewe..
Mida hiyo Usingizi ahunipi nafasi kabisa..
Nilikuwa naangalia Highlights ya Jana..Senegal & IC huku natetemeka utadhani mpira ndiyo unachezwa[emoji1787]
Senegal yangu imeaga bhana...
Ila huu wa leo Morocco najiona nikijikaza tu niangalie.[emoji1]