Mfupi mno, na hiyo ni changamoto kubwa sana inayomzuia kutoboa kwenye mataifa yanayojua mpira.Ila Diarra nae emolo sana
NakaziaMfupi mno, na hiyo ni changamoto kubwa sana inayomzuia kutoboa kwenye mataifa yanayojua mpira.
Kashindwa kufikia mpira wa juu ikaonekana kama faulo kafanyiwaKafanyaje?
Utopwinyo na wafanyakazi wa ndani ngapi ngapi huko aliye na taarifa ?View attachment 2889006
game za mtoano hizi mjomba ukijifanya unajua kupishana sana na watu utapa unachoktfutaKwani game inaonekanaje?
Kama vile wametoshana nguvu.
Inakuwa ni mchezo wa kujihami Zaidi