Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Nimeona watu wengi wanalalamika mitandaoni kuwa makocha wengi wa timu za Afrika wanawaweka wachezaji hasa wanaocheza Ulaya na Asia, wachezaji wanaocheza afrika ndio wanakuwa kama chaguo la tatu.Sasa amevuna alichopanda. Angeingia mapema huenda tungekuwa na habari nyingine sasa hivi.
Ule mkwaju sio wa MchezoBetrand Traore
Nataka SA washinde ila simpendi Tau tokea amuumize Lomalisa.South Afeica starting XIView attachment 2889147
Morocco kwanza then kwa Mkapaanazingua wakati kuna kila dalili mechi ya jana refa alikua anaonekana yupo upande wao mfano rejea tukio la sadio mane ile ilikua red card bila mjadala njoo kwenye penati bila shinikizo.la watu wa VAR ile penati alitaka kupeta wakubali wametoka tukutane kwa mkapa 2027
Wachezaji wamuogope Mungu jamani! Huyu jamaa pichani Khuliso Mudau ni wa 95? Ati ana miaka 28? Eh π ππΎSouth Afeica starting XIView attachment 2889147
πππ Aisee.Nataka SA washinde ila simpendi Tau tokea amuumize Lomalisa.
Mtashindwa mjue!!Morocco starting XIView attachment 2889145
May the Lord Our God bless you our fellow SADC comrades.South Afeica starting XIView attachment 2889147
Ni tukio ambalo nililishuhudia live, hakukubaliana na touch za dhahabu za Lomalisa akaona anadhalilishwa akamfanyia rafu ya kusudi.πππ Aisee.
una mahaba na Lomalisa sana
Aisee.Pamoja na kwamba Mali wamepita ni ukweli kwamba hawajakutana na timu yenye upinzani mkubwa ambayo ingetupa kipimo halisi cha ubora wao
Pole mremboNi tukio ambalo nililishuhudia live, hakukubaliana na touch za dhahabu za Lomalisa akaona anadhalilishwa akamfanyia rafu ya kusudi.
mim kwenye hii michuano atoke ivory coast waliobaki sina shida Nao Morroco ashinde sawa South ashinde sawaMorocco kwanza then kwa Mkapa
Hawajakutana na mifupa migumuAisee.
Hujapenda tu.
Wamejitahidi sana
Mkuu burkinabe hawana mabavu ya kupimana na mali?Pamoja na kwamba Mali wamepita ni ukweli kwamba hawajakutana na timu yenye upinzani mkubwa ambayo ingetupa kipimo halisi cha ubora wao
πππ Cote D'Ivoire wameharibu wapi?mim kwenye hii michuano atoke ivory coast waliobaki sina shida Nao Morroco ashinde sawa South ashinde sawa