Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Nimeona watu wengi wanalalamika mitandaoni kuwa makocha wengi wa timu za Afrika wanawaweka wachezaji hasa wanaocheza Ulaya na Asia, wachezaji wanaocheza afrika ndio wanakuwa kama chaguo la tatu.Sasa amevuna alichopanda. Angeingia mapema huenda tungekuwa na habari nyingine sasa hivi.
Makocha wachache ndio wanaweza kuwaamini wachezaji toka bara la afrika