2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nitaangalia vipi na Tanesco hawataki niangalie? Heri ya Mwaka Mpya mtani
Pole Mtani wangu. Inabidi uje kuishi huku madongo kuinama hama huko. 😜

Ahsante Mtani namshukuru aliye juu kuniwezesha kuwa na afya njema kuweza kuiona 2024. Na kwako pia.
 
Bingwa South Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…