Ukitoa nchi nne za kaskazini kutolewa huku kwa full magiza zimetolewa ngapi?Nchi zote za Africa ya kaskazini Algeria, Misri, Morocco na Tunisia zimefurushwa nje. Sasa ukisikia Afcon ndio hii. Full back....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitoa nchi nne za kaskazini kutolewa huku kwa full magiza zimetolewa ngapi?Nchi zote za Africa ya kaskazini Algeria, Misri, Morocco na Tunisia zimefurushwa nje. Sasa ukisikia Afcon ndio hii. Full back....
Mwarabu fakeKutolewa kwa timu za kaskazini ladha ya mpira kwangu imepungua kwakweli[emoji2] kwa timu zilizobakia sidhani kama nitaangalia, especially wawakilishi wetu wa W/Cup [emoji1173] nilikua nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huu
Wajipange upya, next time!
Daah huzuni sanaa tumepangiwa Cape Verde😪Hahahaaa. 🤝 Na mie nitajiangalia Mkuu siku mkicheza kama moyo wangu utaweza kuwashangilia. 😂😂
Kwani mnacheza na nani quarter final?
😅😅😅Daah huzuni sanaa tumepangiwa Cape Verde😪
Semaa kibabe tu watacheza Amapiano 😃japo wagumu
Utuangalie hivyo hivyo nitawaambia vijana wajitaid wakufurahishe😃
Cape Verde x SA wanakutana vipi nusu wkt robo wanacheza wote?Nusu fainali :NIGERIA vs DRC na CAPE VERDE vs SA Fainali 😀RC vs SA Bingwa:SA
Kwa kweeli. 😀Utuangalie hivyo hivyo nitawaambia vijana wajitaid wakufurahishe😃
Aisee! Tunafanana rafiki mi pia kwa sasa sina hata Timu ya kushangilia na hata mood ya kukaa mpaka saa tano haipo.Senegal waliondoka na matumaini yangu yote nikakosa kabisa mood ya kuangalia mechi zilizobaki
cc Smart911
😁😁Na tukafanya jambo haswaaaaa, Amapiano bado tupoo Cote d voiree
Pumbav sana wale jamaa. Wanajionaga wa tofauti kweli. Faulo zikitokea wanaangalia kwenye kilaptop chao uchwaraMajamaa walikua na VAR yao kwenye ki laptop teh waarabu bana
Hilo limepitaHapa naomba Ivory Coast aage kwanza tukae kwa kutulia
Kabisa rafiki.Aisee! Tunafanana rafiki mi pia kwa sasa sina hata Timu ya kushangilia na hata mood ya kukaa mpaka saa tano haipo.
Bora nilale zangu mapema ili asubuhi nipate nguvu ya kwenda kulitumikia Taifa. 😅😅
Congo hawezi kubeba ndoo, hiyo inabaki hapohapo inapofanyikia.Congo anabeba ndoo.