2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nionaje Mimi namsaka Paka tu HAPA sielewi
Screenshot_20240130-055422~2.png

This time alijikanyaga...
 
Pitia comments kwa umakini comments za kwenye huu uzi unaweza ukapata picha kwanini wanawakataa. Mtu anayesema Afrika ni ya Weusi, Hao ni Waarabu koko ni ndugu yako kweli?

Mweusi kusema ndugu zake weusi ni sahihi, Mwarabu kusema ndugu zake Waarabu sio sahihi.

Nikiwaambia Mwafrika mweusi ndio mtu mbaguzi zaidi duniani hapa kupita race yoyote ile mnakataa. Kama mtu mweusi angekuwa na uchumi mzuri hakuna rangi mngeacha kuona. Nawaambieni.
Wacha weeeeee, mwarabu wa mwakizalo huyo.
 
wao wakitolewa huwa hawana muda wa kusapoti nchi nyingine, tumetolewa Tz Lakini bado tunashabikia nchi nyingine sio waarabu, ukweli ni wabaguzi huna la kuwatetea huo ni ukweli mchungu watoke tu
 
Back
Top Bottom