cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Na tukafanya jambo haswaaaaa, Amapiano bado tupoo Cote d voireeteam SA tunaweza kufanya jambo kwenye hii mechi, mliokuja na matokeo yenu inabidi mjitafakari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tukafanya jambo haswaaaaa, Amapiano bado tupoo Cote d voireeteam SA tunaweza kufanya jambo kwenye hii mechi, mliokuja na matokeo yenu inabidi mjitafakari.
Huyo namuonaga mahaba yake yako Misri na Morocco, huoni team yake mamelodi sundown haizingatii yuko buzzy na Al ahly na Wydad. Mfyuuuh zake.Patrice motsepe (Rais wa CAF) mzee mnafiki sana huyu, Timu ya taifa lake imeshinda alafu anajifanya kam ushindi haumuhusu eti [emoji3][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlisema fainali ni Morocco na Senegal eeh? Labda fainali uzeeni [emoji23][emoji28]
Kombe linaenda Bondeni kwa Madiba, Mamelod wana jambo lao mwaka huu, toka AFCON had CLKwa hapa tulipofikia sasa kombe abebe yoyote tu maan waarabu wote wametoka ila hawa Cape verde (waarabu uchwara) nao inabidi watoke.
Majira yamebadilikaHapo wanaopita ni Angola, DRC, Mali na Cape Verde
Aibooooo....Ndisiyanza..[emoji28]Kombe linaenda Bondeni kwa Madiba, Mamelod wana jambo lao mwaka huu, toka AFCON had CL
Mbona wamemkuta chooni anacheka🤣Huyo namuonaga mahaba yake yako Misri na Morocco, huoni team yake mamelodi sundown haizingatii yuko buzzy na Al ahly na Wydad. Mfyuuuh zake.
Hapana yeye ni rais wa michuano ya CAF hivyo anatakiwa kuwa neutral na kusupport timu zote bila kujali inayocheza ni klabu yake au taifa lake, Jana kuna commentator mmoja nilimsikia anasema kwamba anatakiwa asioneshe mahaba kwa taifa lolote au klabu yoyote ile maana ni rais wa shindano zima la CAF, huwezi kuniambia eti haipendi timu yake ya Mamelodi Sundowns au kwamba hajafurahia ushindi wa nchi yake SA..Huyo namuonaga mahaba yake yako Misri na Morocco, huoni team yake mamelodi sundown haizingatii yuko buzzy na Al ahly na Wydad. Mfyuuuh zake.
Hizi ni siasa mnaletaHawa Warabu si walivo fika semi ya WC walisema wao sio waAfrica?.. Sasa kwnn wanalia lia kutoka AFCON?
Wao sio waAfrica ss wametuacha waBantu tupambanie kombe.. Wao si wana jeuri?.. Ss jeuri yao waende wakashindanie EURO au COPA AMERICA..wao si sio waAfrica?
Daah! Mkuu naona kauli yako imetimia.Mbona wamemkuta chooni anacheka🤣
Asante sana Mkuu Tunaendalea tulipoishia Amapiano kwa kila mtuDaah! Mkuu naona kauli yako imetimia.
Hongera aisee.
Hahahaaa. 🤝 Na mie nitajiangalia Mkuu siku mkicheza kama moyo wangu utaweza kuwashangilia. 😂😂Asante sana Mkuu Tunaendalea tulipoishia Amapiano kwa kila mtu
Pitia comments kwa umakini comments za kwenye huu uzi unaweza ukapata picha kwanini wanawakataa. Mtu anayesema Afrika ni ya Weusi, Hao ni Waarabu koko ni ndugu yako kweli?
Mweusi kusema ndugu zake weusi ni sahihi, Mwarabu kusema ndugu zake Waarabu sio sahihi.
Nikiwaambia Mwafrika mweusi ndio mtu mbaguzi zaidi duniani hapa kupita race yoyote ile mnakataa. Kama mtu mweusi angekuwa na uchumi mzuri hakuna rangi mngeacha kuona. Nawaambieni.
Kutolewa kwa timu za kaskazini ladha ya mpira kwangu imepungua kwakweli[emoji2] kwa timu zilizobakia sidhani kama nitaangalia, especially wawakilishi wetu wa W/Cup [emoji1173] nilikua nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huu
Wajipange upya, next time!
Hamsha hamsha bado ipo sana ni wewe tu peke yako umepoteza hamasa,pole sana kwa timu yako kutolewa.
Mimi natamani mwaka huu apatikane bingwa mpya, ambae hajawahi kuchukua kabisaHii AFCON imekuwa AFKEKI sasa senego anatolewaje na pipi za Ivory?? Basi kombe liende kongo au kwa mandela