2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Huyo namuonaga mahaba yake yako Misri na Morocco, huoni team yake mamelodi sundown haizingatii yuko buzzy na Al ahly na Wydad. Mfyuuuh zake.
Hapana yeye ni rais wa michuano ya CAF hivyo anatakiwa kuwa neutral na kusupport timu zote bila kujali inayocheza ni klabu yake au taifa lake, Jana kuna commentator mmoja nilimsikia anasema kwamba anatakiwa asioneshe mahaba kwa taifa lolote au klabu yoyote ile maana ni rais wa shindano zima la CAF, huwezi kuniambia eti haipendi timu yake ya Mamelodi Sundowns au kwamba hajafurahia ushindi wa nchi yake SA..
 
Hawa Warabu si walivo fika semi ya WC walisema wao sio waAfrica?.. Sasa kwnn wanalia lia kutoka AFCON?

Wao sio waAfrica ss wametuacha waBantu tupambanie kombe.. Wao si wana jeuri?.. Ss jeuri yao waende wakashindanie EURO au COPA AMERICA..wao si sio waAfrica?
Hizi ni siasa mnaleta
 
Here we go
 

Attachments

  • 20240131_103908.jpg
    20240131_103908.jpg
    141.1 KB · Views: 3
Pitia comments kwa umakini comments za kwenye huu uzi unaweza ukapata picha kwanini wanawakataa. Mtu anayesema Afrika ni ya Weusi, Hao ni Waarabu koko ni ndugu yako kweli?

Mweusi kusema ndugu zake weusi ni sahihi, Mwarabu kusema ndugu zake Waarabu sio sahihi.

Nikiwaambia Mwafrika mweusi ndio mtu mbaguzi zaidi duniani hapa kupita race yoyote ile mnakataa. Kama mtu mweusi angekuwa na uchumi mzuri hakuna rangi mngeacha kuona. Nawaambieni.

Aisee, umeongea facts, kuna watu wanaendeshwa na chuki+roho mbaya.
 
Kutolewa kwa timu za kaskazini ladha ya mpira kwangu imepungua kwakweli😃 kwa timu zilizobakia sidhani kama nitaangalia, especially wawakilishi wetu wa W/Cup 🇲🇦 nilikua nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huu

Wajipange upya, next time!
 
Kutolewa kwa timu za kaskazini ladha ya mpira kwangu imepungua kwakweli[emoji2] kwa timu zilizobakia sidhani kama nitaangalia, especially wawakilishi wetu wa W/Cup [emoji1173] nilikua nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huu

Wajipange upya, next time!

Hamsha hamsha bado ipo sana ni wewe tu peke yako umepoteza hamasa,pole sana kwa timu yako kutolewa.
 
Nchi zote za Africa ya kaskazini Algeria, Misri, Morocco na Tunisia zimefurushwa nje. Sasa ukisikia Afcon ndio hii. Full back....
 
Back
Top Bottom