2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Senegal waliondoka na matumaini yangu yote nikakosa kabisa mood ya kuangalia mechi zilizobaki

cc Smart911
Aisee! Tunafanana rafiki mi pia kwa sasa sina hata Timu ya kushangilia na hata mood ya kukaa mpaka saa tano haipo.

Bora nilale zangu mapema ili asubuhi nipate nguvu ya kwenda kulitumikia Taifa. 😅😅
 
Ajabu kuna watu walitaka burudani hizi zitolewe mashindanoni kule AFCON

Back
Top Bottom