OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
nilishangaa timu ya taifa ya RSA asilimia 90 ya first eleven wanatoka mamelody hao wanao baki pia waliwahi kucheza mamelody mfano percy TAU sijaona anayetokea ulaya nadhani huo ulikua mpango wa MOTSEPE tena wa muda mrefuMoja ya sababu ya Bafana Bafana kufanya vizuri AFCON ya mwaka huu…
Kocha wa Mamelodi kumbe yupogo uwanjani na anatoa mbinu kwa kocha wa timu ya taifa.View attachment 2891521View attachment 2891523
Robo ya Kwanza leoHivi leo hakuna mechi?
Tukutane badae Jf Uchambuz usikose mkuuRobo ya Kwanza leo
Moja ya sababu ya Bafana Bafana kufanya vizuri AFCON ya mwaka huu…
Kocha wa Mamelodi kumbe yupogo uwanjani na anatoa mbinu kwa kocha wa timu ya taifa.View attachment 2891521View attachment 2891523
May Our Lord Bless Mabululu and all Angolans wana SADC wenzetu wapendwa.Tukutane badae Jf Uchambuz usikose mkuu
MABULULU vs Nigeria 🔥🔥🔥
Faida yakuwa na kocha mzawaMoja ya sababu ya Bafana Bafana kufanya vizuri AFCON ya mwaka huu…
Kocha wa Mamelodi kumbe yupogo uwanjani na anatoa mbinu kwa kocha wa timu ya taifa.View attachment 2891521View attachment 2891523
Tumpe Angola NaonaMay Our Lord Bless Mabululu and all Angolans wana SADC wenzetu wapendwa.
Jilipue tu. 😂😂Tumpe Angola Naona
Kapewa Odd za kushiba mno ngoja nijitoe muanga😃
Mwamuz Dakika 90Angola ,[emoji736]
Mungu ibariki NigeriaMungu Ibariki Angola.
Mungu Ibariki DRC (Africa Mashariki)
Mungu Ibariki Afrika Kusini.
Mungu Ibariki Mali.
Mungu ibariki Nigeria