2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Moja ya sababu ya Bafana Bafana kufanya vizuri AFCON ya mwaka huu…

Kocha wa Mamelodi kumbe yupogo uwanjani na anatoa mbinu kwa kocha wa timu ya taifa.View attachment 2891521View attachment 2891523
nilishangaa timu ya taifa ya RSA asilimia 90 ya first eleven wanatoka mamelody hao wanao baki pia waliwahi kucheza mamelody mfano percy TAU sijaona anayetokea ulaya nadhani huo ulikua mpango wa MOTSEPE tena wa muda mrefu
 
Soki ba gagner Papa Kabulo mema bango ata na boîte hein oyebi marcory te hum luka ata gereuse de bizi asala makambu pona victoire ❤️🇨🇩
 
Back
Top Bottom