Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #901
Africa Magharibi na Mapinduzi ya Kijeshi ni sawa na Kizimkazi na Mama!Naona hata kwenye betting sites mechi hii imepigwa pini. Hii ndio Africa bana, usikute kuna mapinduzi ya kijeshi yameingilia mechi!
[emoji28][emoji28]
Kama dakika ya 25Toka dakika ya ngapi yamekata matangazo ? Maana nilichelewa game leo nafika hakuna kitu
Tumieni vpn mzigo unapiga kaziAfrica Magharibi na Mapinduzi ya Kijeshi ni sawa na Kizimkazi na Mama!
Kimeumanakala umeme gambia HTView attachment 2872700
Tumetia aibu waafricaKama dakika ya 25
Kabisa yaaniYanii watupe hata updates tu
Kwenye website gani?Tumieni vpn mzigo unapiga kazi
Inasikitisha sanaTumetia aibu waafrica
Aibu kubwa sanaTumetia aibu waafrica
VPN Ndo vitu gani tena hivo π€π€π€ π??Tumieni vpn mzigo unapiga kazi
Kwenye website gani?
Kote matangazo yamekataVipi kwa dstv?
Yanii watupe hata updates tu
WamezimaVipi kwa dstv?
π€£ππMpigie Joti au Mwijaku watakupa uodates maana wapo uwanjani ππ