2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Gambia timu mbovu namba 8 ,6 , 9 na kumi wa hovyo pia beki namba 3 na 4 wa hovyo sipati picha mshambuliaji mpya wa simba MGAMBIA ambaye hajaitwa timu ya taifa maana yake anakiwango kidogo kuliko huyu mwenye bleach kichwani niwaambie tu kuwa wanasimba mshahara wa huyo mgambia mpeni chasambi au mkanunue yule mmakonde wa jana aliyewatia adabu misri
 
kala umeme gambia HT
Screenshot_20240115_175726_LiveScore.jpg
 
Back
Top Bottom