[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wamemkuta chooni anacheka[emoji1787]
leo Ga Naby Keita gana kufunga wew ba Mutu ga madini ya cobatibileko na bileko
Mbona Mamelod wanafanyiwaga figisu za wazi hatoi tamko, ila wafanyiwe wydad na all alhy utamuona anavoanza kutoa matamko yake mfyuuuh.Hapana yeye ni rais wa michuano ya CAF hivyo anatakiwa kuwa neutral na kusupport timu zote bila kujali inayocheza ni klabu yake au taifa lake, Jana kuna commentator mmoja nilimsikia anasema kwamba anatakiwa asioneshe mahaba kwa taifa lolote au klabu yoyote ile maana ni rais wa shindano zima la CAF, huwezi kuniambia eti haipendi timu yake ya Mamelodi Sundowns au kwamba hajafurahia ushindi wa nchi yake SA..
Wissa angefunga Lile Goli, Yule beki wangerudi kwao wangemtwanga RisasiWissa anakosa nafasi ya wazi ya kuipa Congo uongozi
Beki mzembe sana yuleWissa angefunga Lile Goli, Yule beki wangerudi kwao wangemtwanga Risasi
🤣🤣 angeonekana amebetWissa angefunga Lile Goli, Yule beki wangerudi kwao wangemtwanga Risasi
Mkuu huoni kasi yaoGuinea hawana maajab
awa lazima wakupasue hadi usahau lugha zenu za lingaraNawakosa Kosa Hawa guinea