2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hapana yeye ni rais wa michuano ya CAF hivyo anatakiwa kuwa neutral na kusupport timu zote bila kujali inayocheza ni klabu yake au taifa lake, Jana kuna commentator mmoja nilimsikia anasema kwamba anatakiwa asioneshe mahaba kwa taifa lolote au klabu yoyote ile maana ni rais wa shindano zima la CAF, huwezi kuniambia eti haipendi timu yake ya Mamelodi Sundowns au kwamba hajafurahia ushindi wa nchi yake SA..
Mbona Mamelod wanafanyiwaga figisu za wazi hatoi tamko, ila wafanyiwe wydad na all alhy utamuona anavoanza kutoa matamko yake mfyuuuh.
 
Back
Top Bottom