joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Utashangaa wanambeba mwenyejiKama kawa tuta hili.
Hahaha!Afadhali umeme umerudi sekunde chache zilizopita
Congo DRC nilitaka wakutane na Equatorial Guine!!Kongo alimpiga mtu fimbu 3
Ila kweli Offside refa yupo sahihi.Utashangaa wanambeba mwenyeji
Ila kweli Offside refa yupo sahihi.
Refa sawa.Huyu refa hii game itamshinda
Mungu saidia Mali