United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Nachangamsha genge tu hapa mkuu.Sasa mkuu kweli source yako ni Labani??🤣🤣
Haya lia nao.asa sis leo tumeamua kuwa mali
Hizo timu mbili watu wana mahaba nazo yaliyopitilizaNachangamsha genge tu hapa mkuu.
Hata wewe ile source yako ya kumnukuu waziri wa michezo niliona ulikuwa unachangamsha genge tu japo wadau lialia kutoka Uto walikutolea povu 😂
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipa wa mali. Kipa wetu ni manula
Unaongoza, mtu ana red bado unambwela...watoke tu wajinga hawaMali wanavuna walichopanda mbwa hawa