2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Baada ya Sub ya Sinayoko na Coulibally nilisema kabisa goli linarudi.
Hawajamaa wawili ndio nguzo ya Mali, kocha alivyo mpumbavu kawatoa.

Watu hawajaruhusu goli, hawajaumia, upo zaidi kwa mtu mmoja unafanya sub ya watu muhimu lazima upigwe tu.

Nakumbuka mwaka 2009 AFCON ya Ufunguzi ilifanyikia Nchini Angola.
Angola [emoji1029] Vs [emoji1159] Mali.
Angola aliupiga mwingi mpaka dakika ya 75 anaongoza 4 bila, akatoa wachezaji wake wote hatari akina Manucho, Flavio nk. Kuanzia dk 79 Mali [emoji1159] wakaanza kupata magoli mpaka dk ya 90 goli zote 4 zikawa zimerudi. Wakati Mali ya akina Fred Kanoute, Seydou Keita nk.

Mali [emoji1159] OUT
one of the best game in Africon hongera mkongwe
 
Utafurahi kwa sababu kipa wao ni Diarra?
No... Ni kwasababu ya background yao mpaka wamefika hap.

Ivory Coast wameonesha mfano wa kwanini mtu ukipewa second chance haupaswi kufanya mess up.

Truth to be told....Mali hawajakutana na timu ngumu ni timu regular tu ambazo wako katika level sawa au sometimes wamezizidi.

Lakini pia ni funzo lingine kuwa ukipewa dhamana ya kuwa host wa mashindano lazima utetee heshima yako kuonesha kwanini uliaminiwa.
 
Baada ya Sub ya Sinayoko na Coulibally nilisema kabisa goli linarudi.
Hawajamaa wawili ndio nguzo ya Mali, kocha alivyo mpumbavu kawatoa.

Watu hawajaruhusu goli, hawajaumia, upo zaidi kwa mtu mmoja unafanya sub ya watu muhimu lazima upigwe tu.

Nakumbuka mwaka 2009 AFCON ya Ufunguzi ilifanyikia Nchini Angola.
Angola [emoji1029] Vs [emoji1159] Mali.
Angola aliupiga mwingi mpaka dakika ya 75 anaongoza 4 bila, akatoa wachezaji wake wote hatari akina Manucho, Flavio nk. Kuanzia dk 79 Mali [emoji1159] wakaanza kupata magoli mpaka dk ya 90 goli zote 4 zikawa zimerudi. Wakati Mali ya akina Fred Kanoute, Seydou Keita nk.

Mali [emoji1159] OUT
Mashabiki wakaanza kutupia chupa wachezaji wao 😂
 
Back
Top Bottom