Nina uhakika huangalii mpiraWenyeji wanabebwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina uhakika huangalii mpiraWenyeji wanabebwa
Kabisa aisee😂😁Leo kazi ipooo
Umejuaje nduguNina uhakika huangalii mpira
😂🤣😁Mali ni wahuni
Naunga mkono hojaHiyo mashine Bissouma wanayo ingiza Mali ni hatari,inakuja kunadilisha kila kitu hapo kati.
Mwenyeji ana bahati ya kupita kibahati bahati,kwenye tundu la sindanomwenyeji kama hayuko pungufu vile
Uzuri uliona mapemaMbona kama uwanja unaanza kuinamia kwetu Mali?