ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawa wapumbavu wa Mali wanapaka paka Mafuta mpira hakuna kitu ndio maana hayafungi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaangalia mpira kweli?Wenyeji wanabebwa
one of the best game in Africon hongera mkongweBaada ya Sub ya Sinayoko na Coulibally nilisema kabisa goli linarudi.
Hawajamaa wawili ndio nguzo ya Mali, kocha alivyo mpumbavu kawatoa.
Watu hawajaruhusu goli, hawajaumia, upo zaidi kwa mtu mmoja unafanya sub ya watu muhimu lazima upigwe tu.
Nakumbuka mwaka 2009 AFCON ya Ufunguzi ilifanyikia Nchini Angola.
Angola [emoji1029] Vs [emoji1159] Mali.
Angola aliupiga mwingi mpaka dakika ya 75 anaongoza 4 bila, akatoa wachezaji wake wote hatari akina Manucho, Flavio nk. Kuanzia dk 79 Mali [emoji1159] wakaanza kupata magoli mpaka dk ya 90 goli zote 4 zikawa zimerudi. Wakati Mali ya akina Fred Kanoute, Seydou Keita nk.
Mali [emoji1159] OUT
Utafurahi kwa sababu kipa wao ni Diarra?Mali wakitolewa nitafurahi
Asante Sana.one of the best game in Africon hongera mkongwe
Ni fedha hakuna mifukoni, au ni Mahaba ya soka yapo chini...Uwanja unajaa siku akicheza mwenyeji
Unatoaje key players Sinayoko na Coulybally? Sinayoko mabeki walikuwa hawapandi hata kidogo. Yaani watapigwa soonGame ishakuwq ngumu kwa mali, utadhani wao ndio wana red card
Hata kwenye etra time bado watakua nyumbaniMali Extra time wakitulia,Wataimaliza gemu!
Ivory coast mpaka sasa wanacheza kwa hamasa ya nyumbani.
Sub aliyoifanya kocha wa Mali halafu na kocha wa CIV akaingiza watu kama Diakite unategemea nini.Aloooh Hawa de ivory imekuaje wameamka now
Yanii hatari sana!Game ishakuwq ngumu kwa mali, utadhani wao ndio wana red card
No... Ni kwasababu ya background yao mpaka wamefika hap.Utafurahi kwa sababu kipa wao ni Diarra?
Mashabiki wakaanza kutupia chupa wachezaji wao 😂Baada ya Sub ya Sinayoko na Coulibally nilisema kabisa goli linarudi.
Hawajamaa wawili ndio nguzo ya Mali, kocha alivyo mpumbavu kawatoa.
Watu hawajaruhusu goli, hawajaumia, upo zaidi kwa mtu mmoja unafanya sub ya watu muhimu lazima upigwe tu.
Nakumbuka mwaka 2009 AFCON ya Ufunguzi ilifanyikia Nchini Angola.
Angola [emoji1029] Vs [emoji1159] Mali.
Angola aliupiga mwingi mpaka dakika ya 75 anaongoza 4 bila, akatoa wachezaji wake wote hatari akina Manucho, Flavio nk. Kuanzia dk 79 Mali [emoji1159] wakaanza kupata magoli mpaka dk ya 90 goli zote 4 zikawa zimerudi. Wakati Mali ya akina Fred Kanoute, Seydou Keita nk.
Mali [emoji1159] OUT
😂,Hata kwenye etra time bado watakua nyumbani