Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mm moyo umefurahia maana walishafanya ujinga toka mwanzo
Tena bwa wakubwa kabisa hawa wamenikera sanaMali wanavuna walichopanda mbwa hawa
Mnoooo daaahh.....Mali katolewa kifala sana
Wameshinda Ivory CoastNini kimetokea hapa
Ramli haramu dadaHivi kale ka paka leo kalitabirije Kwani??
Dah Yani hapa najiskia ovyo tu, timu inaruhusu magoli dakika za kufa tu yani,