United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Hii game angekua kocha wakawaida ingemshinda vibaya sana ila kocha kipind cha pili kaja game plan nzuri sanaNdani ya Mda mfupi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii game angekua kocha wakawaida ingemshinda vibaya sana ila kocha kipind cha pili kaja game plan nzuri sanaNdani ya Mda mfupi sana
Wa Simba jina limenipotea inongaKitendawili:
Mchezaji pekee kutoka NBC PL kucheza nusu fainali mashindano ya mwaka huu ni nani? [emoji1787][emoji1787]
Cc: OKW BOBAN SUNZU
Bahati Kabahatika,Ivory coast kashinda sawa lakin kiuhalisia hayuko vizuri. Leo bahati imewaangukia kweli mpira ni mchezo.
Wana bahati sana ila hii mechi mali hawastahili hata kuhuzunika, wamezingua sana.Hawa wenyeji tuachieni sie wakongo tunakazi nao hawa
Na sio mwaka huu tu ni toka Dunia ianzishwe yeye ndio mchezaji pekee kutoka ligi yetu hii kucheza semi final ya AfconKitendawili:
Mchezaji pekee kutoka NBC PL kucheza nusu fainali mashindano ya mwaka huu ni nani? [emoji1787][emoji1787]
Cc: OKW BOBAN SUNZU
Hapana game ya leo ilikua mbichi sana mzee plus Red kadi ya mapema yule kocha ni tecnical sanaIvory coast kashinda sawa lakin kiuhalisia hayuko vizuri. Leo bahati imewaangukia kweli mpira ni mchezo.
Hamna mkuu nae atachelewa chelewa kidogo kuna mshindi wa 3 [emoji3][emoji3][emoji3]Nilisema mapema
Diarra atawahi kurudi NBC kabla ya Enonga watu wakanibishia
Wapuuzi kwelikweliNdg zng nilikua chimbo nimekuja Ona game mwshn.
Lkn nachoweza kusema hakuna watu wajinga kama Mali.
Kiukwl kama ni Bahat bas Ivory cost Wana bahat[emoji1487].. Na Hawa wajinga wasipo waangalia wakafika final watabeba kimasihara hata kwa kubebwa.
Iliongezwa dk 1 tu hivyo mpira ulishaisha baada ya goli tuIla refa nae mizinguo sana. Unamalizaje mpira pale.
Inonga wa SimbaKitendawili:
Mchezaji pekee kutoka NBC PL kucheza nusu fainali mashindano ya mwaka huu ni nani? 🤣🤣
Cc: OKW BOBAN SUNZU