2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hawaamini macho yao
IMG_9757.jpeg
 
Maoni ya George Ambangile;

Unaongoza 1-0 with mchezaji mmoja zaidi then unacheza chaotic football ni recipe for disaster .

Hisia Hisia Hisia kwenye football inaweza kuwa costly DIAKITE .Hatocheza semi final na ni moja ya silaha kali sana kwa Ivory Coast off the bench coz of : Speed yake, Strength, direct
 
Sema hawa Ivory Coast ni kama wana zali fulani ai mganga wao yupo vizuri, picha linaanza hawakutakiwa kuwepo kwenye mashindano kapita kama best looser, pili jinsi wanavyoshinda mechi zao ni kimaajabu ajabu 🙌
 
Back
Top Bottom