Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
Ww tena πPoleni Wana Yanga
Mkuu Mali kama ni wehu bas ni wehu.Wapuuzi kwelikweli
Mali hawajaamin walicho kiona wameumia Sana Sana sna.Football mchezo wa kikatili sanaView attachment 2893333
Wacha kudanganya ndugu , huko huko ulaya wanasawazishiwa dakika za majeruhi. Mpira unaendana pia na bahati.Ujinga walioufanya Mali uwezi kuukuta ulaya wenzetu wako seriously mpka waakikishe ngoma imeisha
Midomo midomo yote kwisha.Poleni Wana Yanga
KabisaWana bahati sana ila hii mechi mali hawastahili hata kuhuzunika, wamezingua sana.
Hahaha....Haya lia nao.
Tuna pitaMkuu uran kila timu ninayoshabikia inatolewa nje ya mashindano, niambie Cape Verde tutafuzu kweli nusu fainali?
Nakukaribisha DRC dada yanguAsitokee mtu akanitag, tafadhali sana mechi imeshaisha.
Ngoja nijaribu bahati kwa wahuni wa SA.
Mara nyingi muda ukiisha na mpira ukiwa kwenye eneo la hatari huwa hawamalizi mpira hadi move ipite.Iliongezwa dk 1 tu hivyo mpira ulishaisha baada ya goli tu
Kama yeye ndo kasababisha ujinga wao vile yaani watu wanacheza pungufu afu wanashindaJinga, yanataka kupiga refa
Hata SA anafungasha virago leo πAsitokee mtu akanitag, tafadhali sana mechi imeshaisha.
Ngoja nijaribu bahati kwa wahuni wa SA.