reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Sina shoo mbovu maana Wana Yanga wote walikua Mali kisa Diarra haya walie nae..Ww tena [emoji23]
Mimi ni team Ivory coast since day one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina shoo mbovu maana Wana Yanga wote walikua Mali kisa Diarra haya walie nae..Ww tena [emoji23]
Na Ndio Maana mim naona ni Bora CAF wangerudisha Timu chache kama zamani ili Mechi zenye ubora ziazie makundi timu sjui kama Taifa stars zisiwepo kabisa
Kuna magoli hata uwe bora sana utafungwa tu.Diara ni mlinda mlango ila sio mzuiaji magoli yasiingie, yaani hana save hata moja ya maana.
Yaani wamepoa mnoooMidomo midomo yote kwisha.
Mpfyuuuuuuuuuuuu zao yanga
Kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa bahatiMpira unaendana pia na bahati.
Mbili MojaSasa mnahadithiana tu ninyi wenyewe hatujui matokeo ngapi ngapi Kuna nini kimetokea au imekuwaje jamani hi jf vipi[emoji47]
Mali kafaMali anakufa kesho
SafiiUmeongea point sana matimu mengi kwenda Afcon kunasababisha mitimu mibovu km Taifa stars kwenda kujaza nafasi tu na mpira hawana
Hata kombe la dunia zibaki hizo hizo tano wakiongezea waongeze ziwe nane tu
Sanaaa huyu achezeshe final anafaaa.Sema hili Refa nimelipenda Sana limeweza kuendana na Mazingira ya Mechi Game ilikua yakibabe sana na lenyewe limeipeleka kibabe ivo ivo hadi mechi inaisha limetoa Nyekundu tatu hakuna kucheka na Kima
Nipo Cape VerdeNgoja tuone.
Hii Souz ni uhakika
AmeenHata SA anafungasha virago leo [emoji23]
Sasa mpira si ulishatoka kulikuwa na move gani pale ya hatari na pia hiyo uliyosema sio sheria ni utashi tu wa refaMara nyingi muda ukiisha na mpira ukiwa kwenye eneo la hatari huwa hawamalizi mpira hadi move ipite.
PoleNipo Cape Verde
Ngoja tuonePole
Mnapigwa, no way
Bahati ipo. Kama Mali wana bahati sana, kuna kichwa kilipigwa kikagonga mwamba wakaenda extra time. Wasingefika huko.Kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa bahati
Mpira ni mipango kuwaza nje ya box dhid ya mpinzan wako
Hakuna kitu kuhusu bahat