2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Hakuna mashabiki wa kujaza hata kiwanja cha jamhuri dodoma

Mashabiki wa Tanzania akili zao zimeishia kwa simba na yanga
Hizi game zingepigwa Tz viwanja vingejaa mechi zote. Nafikiri mahaba ya soka na uchanga wa soka letu yanachangia.

Cot D'voire wana wachezaji wakubwa wanacheza nje hawana mwamko wa kuangalia majina makubwa ya timu nyingine.
 
Back
Top Bottom