2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nilisoma comment ya mdau humu anasema Victor ousmhen hajui mpira

Jamani tuheshimu carrier za watu

.huyu dogo amepambana sana kufika alipofika ingekuwa michezaji ya kitanzania ingesharudi bongo kitambo

Victor ousmhen alijiunga na napoli kwa dau la karibu [emoji387] million 70

Wote tunajua humu seria A sio ligi inayospend pesa nyingi ila napoli kwa dogo walifunguka wallet

Dogo ana kila kitu cha kumfanya awe mshambuliaji bora duniani

Sasa anatokea mtu kiurahisi tu anasema Victor ousmhen hajui mpira
 
Sema Mokoena mtu
GFJyWvEXMAAlK8U.jpeg
 
Wabongo utawaweza? Shida yetu ni ujuaji ukute Aliyesema hayo Victor kamjua kwenye Hii Afcon halafu anaanza kuongea ujinga
 
Back
Top Bottom