Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Capeverde nimewapenda dada zao wanatuvituflan hivi rangi,na viumbo kimo cha ngamia😄Nyooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
0-0Ngapi ngapi ?
Kaka wale ni mbegu ya kirenoo walee watoto wazuri kama malaikaSema cape verde kuna watoto kama wakihabesh👐
IlondoloseeeeeJerusalem 🎵🎵🎵
wewe utakuwa umevurugwa sio bureHii game ya kingese
Kaka asee nitaenda huko ngoja nipate visaKaka wale ni mbegu ya kirenoo walee watoto wazuri kama malaika
Alikuwa mali huyo🤣wewe utakuwa umevurugwa sio bure
Umeona mkuu sio powIla Cape Verde kuna pisi au nasema uongo ndugu zangu
Wabongo utawaweza? Shida yetu ni ujuaji ukute Aliyesema hayo Victor kamjua kwenye Hii Afcon halafu anaanza kuongea ujingaNilisoma comment ya mdau humu anasema Victor ousmhen hajui mpira
Jamani tuheshimu carrier za watu
.huyu dogo amepambana sana kufika alipofika ingekuwa michezaji ya kitanzania ingesharudi bongo kitambo
Victor ousmhen alijiunga na napoli kwa dau la karibu [emoji387] million 70
Wote tunajua humu seria A sio ligi inayospend pesa nyingi ila napoli kwa dogo walifunguka wallet
Dogo ana kila kitu cha kumfanya awe mshambuliaji bora duniani
Sasa anatokea mtu kiurahisi tu anasema Victor ousmhen hajui mpira
Capeverde nimewapenda dada zao wanatuvituflan hivi rangi,na viumbo kimo cha ngamia[emoji1]
Cameraman ashushe kidogo camera chini ya kiuno tuone na matera yapoje