2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Umeongea point sana matimu mengi kwenda Afcon kunasababisha mitimu mibovu km Taifa stars kwenda kujaza nafasi tu na mpira hawana

Hata kombe la dunia zibaki hizo hizo tano wakiongezea waongeze ziwe nane tu
Na Ndio Maana mim naona ni Bora CAF wangerudisha Timu chache kama zamani ili Mechi zenye ubora ziazie makundi timu sjui kama Taifa stars zisiwepo kabisa
 
IMG_9759.jpeg
 
Sasa mnahadithiana tu ninyi wenyewe hatujui matokeo ngapi ngapi Kuna nini kimetokea au imekuwaje jamani hi jf vipi[emoji47]
Mbili Moja
Mpira umeenda dkk 30
Mali alikua naongoza
CIV Akarudisha dkk ya 90
Wakaenda nyongeza wameshinda dkk ya mwisho kabisa Cot d vour
Kocha wa Mali akaanza kulia
 
Kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa bahati
Mpira ni mipango kuwaza nje ya box dhid ya mpinzan wako

Hakuna kitu kuhusu bahat
Bahati ipo. Kama Mali wana bahati sana, kuna kichwa kilipigwa kikagonga mwamba wakaenda extra time. Wasingefika huko.
 
Back
Top Bottom