2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ndg zng nilikua chimbo nimekuja Ona game mwshn.

Lkn nachoweza kusema hakuna watu wajinga kama Mali.

Kiukwl kama ni Bahat bas Ivory cost Wana bahat[emoji1487].. Na Hawa wajinga wasipo waangalia wakafika final watabeba kimasihara hata kwa kubebwa.
Kwanini wabebwe na mpira unachezwa wazi magoli wanafunga yanaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…