United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
kweli bwana nimeona nimwenyeweNdio huyo huyo ingia hata google utaona.
Kahuni haka kacameramanπAkija south kwetu ni Mama joy tuuπ€£
Ni kweli bwana ndio yule wa Fergie kumbe aliacha kucheza Ureno ajacheza CPVBebe ndio huyo huyo alipita Man U
Wakati south kuna mali safi tuuKahuni haka kacameramanπ
Halafu kwa chini kiunoni Ina shanga ilee kama uliiangalia kwa umakini πAkija south kwetu ni Mama joy tuuπ€£
We hamkumchukua picha mbona niliikosa hiyoπ€£Halafu kwa chini kiunoni Ina shanga ilee kama uliiangalia kwa umakini π
Mpira wa Academy mkuu umekutana LeoHawa hata wakiendelea kucheza hadi siku ya wapendanao hawawezi kufungana. Naona kama penati zitasimama kama hakimu.
Tangu mwanza mwamba ananyosha tuumokena ameamua apige mabunduki tu
Usingizi mkuu ulaleNimemwona mtu kama dokta silaha au macho yangu?
Ningeweka mods wangefuta ππ€£πWe hamkumchukua picha mbona niliikosa hiyoπ€£
Mods wamelala muda huuNingeweka mods wangefuta ππ€£π
yote yanategeana chezeni mechi mtu apigwe ata dakika ya Mwisho naona kila mtu anataka penatiHawa hata wakiendelea kucheza hadi siku ya wapendanao hawawezi kufungana. Naona kama penati zitasimama kama hakimu.
Kabisa kakaMpira wa Academy mkuu umekutana Leo
Activu yupo lindoni hapa tunacheki nae game hii ππ€£πMods wamelala muda huu
Afu miaka ya zamani mods walikuwa wanachati kabisaActivu yupo lindoni hapa tunacheki nae game hii ππ€£π