United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
kweli bwana nimeona nimwenyeweNdio huyo huyo ingia hata google utaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli bwana nimeona nimwenyeweNdio huyo huyo ingia hata google utaona.
Kahuni haka kacameraman😄Akija south kwetu ni Mama joy tuu🤣
Ni kweli bwana ndio yule wa Fergie kumbe aliacha kucheza Ureno ajacheza CPVBebe ndio huyo huyo alipita Man U
Wakati south kuna mali safi tuuKahuni haka kacameraman😄
Halafu kwa chini kiunoni Ina shanga ilee kama uliiangalia kwa umakini 😂Akija south kwetu ni Mama joy tuu🤣
We hamkumchukua picha mbona niliikosa hiyo🤣Halafu kwa chini kiunoni Ina shanga ilee kama uliiangalia kwa umakini 😂
Mpira wa Academy mkuu umekutana LeoHawa hata wakiendelea kucheza hadi siku ya wapendanao hawawezi kufungana. Naona kama penati zitasimama kama hakimu.
Tangu mwanza mwamba ananyosha tuumokena ameamua apige mabunduki tu
Usingizi mkuu ulaleNimemwona mtu kama dokta silaha au macho yangu?
Ningeweka mods wangefuta 😁🤣😂We hamkumchukua picha mbona niliikosa hiyo🤣
Mods wamelala muda huuNingeweka mods wangefuta 😁🤣😂
yote yanategeana chezeni mechi mtu apigwe ata dakika ya Mwisho naona kila mtu anataka penatiHawa hata wakiendelea kucheza hadi siku ya wapendanao hawawezi kufungana. Naona kama penati zitasimama kama hakimu.
Kabisa kakaMpira wa Academy mkuu umekutana Leo
Activu yupo lindoni hapa tunacheki nae game hii 😁🤣😂Mods wamelala muda huu
Afu miaka ya zamani mods walikuwa wanachati kabisaActivu yupo lindoni hapa tunacheki nae game hii 😁🤣😂