2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Timu zangu zote nlizopenda zifike hapo hadi sasa zimefika isipokua nigeria tuuh ndo sikupenda ivuke
By the way tatu kwa mmoja naamini furaha yangu bado ipo kwenye mashindano haya hadi nabeba ndoo🤪
 
Tuwasifu na magolikipa. Wamejitahidi sana..
Penalt nyingi za verde zilikuwa zinaonesha direction na nyingine zipogwa za baridi kiasi kipa akiruka anaenda kasi sawa na mpira


But kipa wa verde alikuwa anaruka kabla wapigaji
 
Yan wenzetu Sauz wamempeleka Rhulani Mokwena wakampa na A walkie-talkie ili akiwa kule jukwaani awe anatoa maelekezo kwenye mapungufu , sisi tumepeleka kina mwijaku kazi yao kusema “msuva ukiipata piga kwa mbali “ aloo pumbavu kabisa hawa watu wa mpira bongo aisee, MWINJAKU WA NINI KWENYE MPIRA JAMAN ?
 
eti..😂😂 msuva ukiipata piga kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…