Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Sisi wanakaskazini tulishatolewa, baada ya hapo sikufuatilia tena nimekua mtu wa kuangalia matokeo tuMorocco ni kesho na nitaishabikia South Africa na Mali.
Wazee wa kujitafutizia furaha hao.View attachment 2893576hutaki unaacha
Usiishi kwa kukariri masta, mbona boli linatembeaLadha ya mpira imepungua sana baada ya timu za kaskazini kutolewa π kweli mimi niangalie mechi ya cape verde au congo π
CAF tunaomba mashabiki wa Cape Verde wabakizwe mpaka fainali. Tunaomba sana
PoleeeeeeLadha ya mpira imepungua sana baada ya timu za kaskazini kutolewa π kweli mimi niangalie mechi ya cape verde au congo π
Fatilia uone mfano hao Cape Verde kwenye Afcon hii wamepiga mpira kuliko hao Egypt, Algeria, Tunisia n.kLadha ya mpira imepungua sana baada ya timu za kaskazini kutolewa π kweli mimi niangalie mechi ya cape verde au congo π
Asante.Jumanne na Jumatano
Dah inasikitisha kwa kweli π’π’π’ Warembo ka hawa wanatakiwa kuwa na furaha wakati wooteView attachment 2893752Kwaherini warembo
Mamelod huyu kipa wao kakamilika ana kila kitu ambacho kipa wa kisasa anatakiwa kuwa nacho.
B... uliwageuka tena jamani? We si ulikuwa unawakubali?Kwenye penalty watajuta.
Ova
Matokeo magumu sana haya..duh!!Mbili Moja
Mpira umeenda dkk 30
Mali alikua naongoza
CIV Akarudisha dkk ya 90
Wakaenda nyongeza wameshinda dkk ya mwisho kabisa Cot d vour
Kocha wa Mali akaanza kulia
Vip uliangalia Amapiano jana ikitaka kutuwa doaπB... uliwageuka tena jamani? We si ulikuwa unawakubali?
7Wakuu mechi za nusu fainali zitachezwa lini??
Niliangalia zote ya Ivory Coast VS Mali na Ya Cabo Verde VS Sauzi..Mahondaw vip uliangalia Gemu ya Jana kupooza machungu ya Senegal au bado upo Fungateππ
Cape Verde? Niliwaona wako bora kwenye dakika za mchezo, ila namjua Williams jinsi anavyopenda kucheza penalty.B... uliwageuka tena jamani? We si ulikuwa unawakubali?
Hujaamia tu South?? Bado πNiliangalia zote ya Ivory Coast VS Mali na Ya Cabo Verde VS Sauzi..
Cabo Verde zilipoisha 90' walianza kuwa na presha na kukuna vichwa zilipoisha 30' za nyongeza ndio kabisaaaaaa
Sauzi wana kipa mzuri Hongera zao sana
cc Smart911