2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

CAF tunaomba mashabiki wa Cape Verde wabakizwe mpaka fainali. Tunaomba sana
images (2).jpeg
 
Mahondaw vip uliangalia Gemu ya Jana kupooza machungu ya Senegal au bado upo Fungate😃😃
Niliangalia zote ya Ivory Coast VS Mali na Ya Cabo Verde VS Sauzi..

Cabo Verde zilipoisha 90' walianza kuwa na presha na kukuna vichwa zilipoisha 30' za nyongeza ndio kabisaaaaaa

Sauzi wana kipa mzuri Hongera zao sana

cc Smart911
 
B... uliwageuka tena jamani? We si ulikuwa unawakubali?
Cape Verde? Niliwaona wako bora kwenye dakika za mchezo, ila namjua Williams jinsi anavyopenda kucheza penalty.

Ndiyo maana sikuwa naiona nafasi yao kwenye hatua ya kupigiana penalty. Na ndivyo ilivyokuwa b..., si umeona?

Ova
 
Back
Top Bottom