2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Cape Verde? Niliwaona wako bora kwenye dakika za mchezo, ila namjua Williams jinsi anavyopenda kucheza penalty.

Ndiyo maana sikuwa naiona nafasi yao kwenye hatua ya kupigiana penalty. Na ndivyo ilivyokuwa b..., si umeona?

Ova
Narefer kwenye maongezi yetu ya awali b... Ile siku tumejadili kuhusu Afcon hii kiujumla. Ulionesha kuwakubali sana Verde.

Nimeona b... Jana umetisha mjinga wewe ingekuwa umeweka mkeka leo tungeamka matajiri. Lols
 
Naona dalili za DRC kubeba hii ndoo maana wana muonekano wa kibingwa. Ni vile vikosi fulani unaweza kuviangalia miaka 20 mbele ukakumbuka performance ya kila mchezaji.

Mechi ya Ivory Coast vs DRC ingekuwa ndiyo fainali ingenoga zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…